akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 308
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,
Ninapenda kuomba msaada kwa wenye uelewa wowote ili nipate kujua ni kwamba nilikua nikifuatilia mafao yangu, nilikamilisha taratibu zote wanazozitaka baadae nikaahidiwa kuwekewa pesa zangu baada ya mwezi mmoja, la kushangaza mda ulipofika niliwekewa kiwango kidogo sana tofauti na nilivotarajia, nilipo jaribu kuuliza niliambiwa ndo utaratibu mpya wa malipo yakua unalipwa asilimia 33 kwa mda wa miez 6 tu.
Nilijaribu kuuliza tena inakuaje majibu nimekua nikipata ambayo hayaridhishi, sasa juzi tu rafiki yangu naye ambaye yeye anakaa Ilala mimi nipo kiondoni akaomba kupewa pesa inamaana kaacha kazi, la kushangaza yeye kaliwa pesa zote bila chenji sasa ninajiuliza inakuaje mkoa mmoja sera na kanuni za mifuko ziwe tofauti? Au nimeibiwa? Au nini kilicho nyuma ya pazia ninaomba mwenye uelewa tafadhali nisaidie ili nione kama nitapata haki yangu.
Asante na maandalizi mema ya pasaka.
NINAKUMBUSHA TU KAMA RAIA WA KAWAIDA CORONA IPO NA INAUA.
Sent using Jamii Forums mobile app