Je ni halali kukopa 900 na kulipa 10% bila kujali mda gani umekaa nayo Vodacom.???

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,071
2,000
Mimi ni mteja mwaminifu wa Vodacom.
Licha ya vikwazo na kero nyingi za huu mtandao lakini sina jinsi zaidi ya kuendelea kuwepo.

Sahabu mojawapo inayonifanya ning'ang'anie huko ni huduma zao mfano mpesa na zinginezo zinazonifanya niwe jirani na wazazi wakiwa huko mbali Makete.

Maana huko wanaifahamu m-pesa tu.

Ila hakuna kinachonikeara kama kukopa 900 na kulipa 990 bila kujalI nimekop muda gani na nimerudisha muda gani.


Je hii inakubalika na inalipiwa kodi,kwa anaejua tafadhali msaada.maana nahisi kuibiwaibiwa tum!!
 

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,071
2,000
Kwa anaejua tafadhali ni halali kukopa 900 na kulipa 990, lich ya hivyo je hii inalipiwa kodi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom