Je ni haki?

sweetito

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
18
Reaction score
2
Hivi kweli ni haki mama mwenye nyumba kumlipisha house girl au house boy pindi avujapo vyombo vya ndani huku akimsindikiza na matusi??????
 
kumbe ndio wamama huwa mnafanya hivyo...lol
 
"common sense is not common"
 
Sio haki kabisa kwani hilo ni kosa kama kosa la kawaida,na asisahau kua huyo nae pia nibinadamu ...
 
Siyo haki jamani, hivi vitu inabidi tuchukulie kama bahati mbaya maana hata huyo mama au wanae wanaweza vunja, je waweza kujilipisha? Wawaaache kabisa watoto wa watu wapumue maana mikono yao haina sumaku kwamba akishika kitu ndiyo kinatiane mazima kisiponyoke!!!!!
 
roho mbaya tu...mwanae akivunja chombo atamlipisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…