Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Wakati serikali ikipambana kudhibiti upotevu na matumizi mabaya ya mapato yake, ni vema basi ikaliangalia na bunge. Ni halali kweli wabunge kukaa bungeni karibia miezi 3 wakijadili bajeti ya mwaka mmoja? No wonder mambo yasiyofurahisha hutokea bungeni pengine ni sababu ya kuwa na muda mwingi usio na matumizi ya haki. Ahsante!