Je ndo kunikubali au zuga?


Huyo tayari yuko kwenye 18 zako mkuu, they always behave that way
 
Huyo kuku tayari kashafka ktk himaya yako weee ni kuchinja tu kilichobaki
 
umeshamnyonyoa kuku manyoya ya shingo, sasa labda kisu kiwe butu tuu!
 
keshaelekea kibra huyo,ansubiri kuchinjwa tu
 
kwikwikwikwiiiiii,kajamaa kanapenda kulaza ngamia haka
 
keshakubali huyo, na wala usimuulizie jibu la maombi yako tena. we andaa mtoko tu ukale mzigo, na wala usisite kumuita mpenz, sweet, hny utaona kama atamind.
 
Kaka hapo jib gan tena unasubri kwn hujui hata ishara nazo n majib co maneno 2
 
Panga siku, mtoe na kula kitu tambaa zako ukiwa mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…