Je, naweza "root" simu yangu bila computer?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,678
Reaction score
104,761
Habari Wakuu?
Kila nikisoma forums mbalimbali jinsi ya ku-root android phone, naona ni lazima uwe na PC itakayo kusaidia katika mission yako.
Ina maana huwezi ku-root without PC? yaani hakuna app unayoweza download from play store au apk then ikakusaida ku-root phone yako?
 
nina galaxy ace 5830i naweza kuiupgrade from gingerbread to jelly bean bila kuwa na computer..vp root files zinafanyikaje kwny simu??..
 
nina galaxy ace 5830i naweza kuiupgrade from gingerbread to jelly bean bila kuwa na computer..vp root files zinafanyikaje kwny simu??..

hii haiwezi kwenda jelly bean.

jaribu hio app hapo juu inafanya kila kitu yenyewe
 
thanks wakuu chief-mkwawa na NingaR kwa ushauri.
Nataka ifanyia mambo hii Galaxy S1 GT-i9000. Je hiyo app ya kaka Mkwawa itafaa?
 
Last edited by a moderator:
thanks wakuu chief-mkwawa na NingaR kwa ushauri.
Nataka ifanyia mambo hii Galaxy S1 GT-i9000. Je hiyo app ya kaka Mkwawa itafaa?

Hiyo simu usipo kua makini unaweza brick ikawa ikiwaka inaishiakwenye samsung logo na kurudia rudia hapohapo(Tatizo hilo linatatulika kwa ku flash firmware ya simu upya), nimesha jaribu kuroot marakadhaa simu ya namna hii mpaka nika ahirisha, lakini haimaanishi kua hakuna njia ya ku root lahasha ipo, kuna njia jamaa mmoja alinambia alaifaniliwa kuruut, njia hiyo ilikua inahusisha mambo ya Base Band ya simu
 

kaka NingaR kwakua mm sio mchawi "wizard" wa rooting na staff kama hizi, nadhani nimtafute mtaalamu wa hiz mambo anisaidie tu. cant do t on my own.
 
Last edited by a moderator:
Duuh!sisi wavi-tecno 3 series hatuna shida unaweka poot apk...ni 3 clicks tu quishiney afu unatilia superuser at the end of the day
 
Duuh!sisi wavi-tecno 3 series hatuna shida unaweka poot apk...ni 3 clicks tu quishiney afu unatilia superuser at the end of the day

Hapo ndio utaona Tofauti ya Tecno na makampuni mengine, Kuajili security engineer kwaajili ya kudesign Device security kampuni kama Tecno sidhani wanalipa kipaumbele, Nimekutana na device ngumu ku root ila kiboko ni Device za Motorola hawa jamaa wali funga Razr na Razr Maxx toka 2012 mpaka mwaka huu April ndio njia ya ku root ikapatikana nayo mpaka uwe na Computer yenye Ubuntu bado uwe connected to Wi-Fi yaani ni tabu tupu, kwa ntu wa kawaida akisoma maelekezo tu ana ahirisha ku root
 
msaaada samsung i8190 kuroot kwa frama root@chief mkwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…