Je, naweza kuruka kamaba kwenye lift inayopanda juu kwa kasi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
38,182
44,276
Nawaza tu.., ukiwa umepanda kwenye lift inayoenda juu kwa kasi, unaweza ukacheza ule mchezo wa kuruka kamba eti?
rope-jumping-on-lift-png.326529
 

Attachments

  • IMG_20160229_172909.jpg
    IMG_20160229_172909.jpg
    70.1 KB · Views: 17
  • Rope jumping on lift.PNG
    Rope jumping on lift.PNG
    33.4 KB · Views: 45
ni kama kirusha kitu juu ukiwa ndani ya gari... kitarudi nyuma(kimuonekano]
 
Mimi nidhani unaweza, kwa sababu kasi iliyopo kwenye mashine inayovuta lifti itakuwa ndani yako ukiongeza na kasi ambayo wewe utaiongeza kwa kuruka, matokeo hayataweza kuathiri motion ya urukaji wako na kamba yako, hivyo inawezekana
 
Back
Top Bottom