Je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering DIT?

hilker mhema

Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
81
Reaction score
23
mimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering pale DIT,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii forum
 
Utajiunga bila tatizo kama private sponser...ila kuchaguliwa direct na serikali hapo ni issue
Ila wame andika pale ktk website yao wana chukua Cs 3 so uwe na point 6 kwa walio maliza 2013 na point 9 kwa walio maliza 2012 kurud nyuma na hizo point wana angalia PHY,CHEM & MATH so hii ime kaaje mkuu?
 
Kweli unaweza kupata lakin hapo kwenye physics patakusumbua kwa kwelii ni CCC wanataka pale kwa electrical, civil etc
 
i
Kweli unaweza kupata lakin hapo kwenye physics patakusumbua kwa kwelii ni CCC wanataka pale kwa electrical, civil etc[/QUOTE

ila niliona wameandika au english sasa sijui itakuwaje ila ngoja nijaribu hivyo hivyo
 
mimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering pale DIT,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii forum
Apply pre entry kwa usalama wako
 
hiyo D ya physics inaweza kukupa shida ila kama upo dar ungefika uwaulize
 
mimi nimemaliza form four 2016 na ufaulu wangu ni physics D,chemistry C,mathematics C biology C ,english C na masomo yaliyobaki yote ni C, je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering pale DIT,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii forum
Wanataka point 9 katoka pcm, ikiwa no phiscs C , mathematics C na chemistry C, kwa waliomaliza form four 2016, 2012, 2011 ,2010 kurudi nyuma, na kwa waliomaliza form four ,2013,2014 wanata minimum point 6 katika pcm, sasa naona kwa matokeo yako una point 8, sijui kama itawezekana labda kawa kozi za laboratory na biomedical watakuchukua kwa sababu biology wanaipa kipaumbele
 
Ila wame andika pale ktk website yao wana chukua Cs 3 so uwe na point 6 kwa walio maliza 2013 na point 9 kwa walio maliza 2012 kurud nyuma na hizo point wana angalia PHY,CHEM & MATH so hii ime kaaje mkuu?
Yeah ndo hivyo
 
Ww dogo kilaza sana kila Siku maswali ni hayo hayo kwanini usifike admission ukapata uhakika wewe endelea kupost apa siku ukisikia academic year imeanza ndo utatia akili
 
Back
Top Bottom