Je, naweza kuchaguliwa shule ya Serikali?

Je, naweza kuchaguliwa shule ya Serikali?

Valentino ntabagi

New Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Mimi nimemaliza form 4 2020
Nimepata
Kiswa- B
History D
Eng- C
Geo - C
Civ - C
Bios - C
Math F

Nina division 3 ya 23.
Je, naweza kuchaguliwa shule za serikali?
 
Uliomba combination gani za kwenda kusoma advance?
 
Na vipi kuhusu mwenye 3 ya 23 akiwa na hist D kiswa B labg B geo D Phy D bio ,C chem D civ D na math F ni wa kike anaeza akaenda kweli
 
Jibu wanalo 'Tamisemi'

Wanajua ufaulu ukoje Tz ikilinganishwa na shule zilizopo(nafasi)
 
HGK na HKL anaweza kuchaguliwa lkn itategemea na overall performance. Kama kuna maninja wengi wana better results basi andaa pesa ya private

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom