Kama kucha zenyewe ndio hizo tena umezipaka na rangi nina wasiwasi na we we aiseeBinafsi sielewi,
Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.
Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.
Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.
Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.
Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.
Swali!
Handsome anasifa zipi?
Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?
View attachment 639444
Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
yaan mividole hiyo ndo vizuri?Binafsi sielewi,

Znazosoma mda woooteMwanaume handsome ni mwenye bank account ambayo ni obese.
Hapa patamu sana.kwani we upo nchi gani? Huku kwetu pesa,gari na suti inatosha unaweza hata ukabakwa na wadada.
Muukize dr.shika akwambie uhandsome kautoa wapi cku hizi....Binafsi sielewi,
Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.
Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.
Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.
Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.
Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.
Swali!
Handsome anasifa zipi?
Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?
View attachment 639444
Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
HatariMwanaume handsome ni mwenye bank account ambayo ni obese.
Mbona km umeweka vidole vya dada yakoBinafsi sielewi,
Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.
Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.
Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.
Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.
Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.
Swali!
Handsome anasifa zipi?
Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?
View attachment 639444
Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
Ni wa5u na wadhfa wao jamaa anguUkiwa single huna pesa huna pamba single wenzako utawasikia tu
Wewe utapendwa na wale wasioyaka pesa sana nia yao ni sherehe tu
Na hao si wengine Bali ni
Wake za watu
Single mum
Wanasake wanaokuzidi umri sana
Wengine utamalizia
[emoji121]U should have a great personality, money , brain and fame just like me! ..Hata ID yangu ina sadifu..Lol
Cc Seneta Wa Mtwizz!