Je mwanamke uko tayari?

sasa mbona hujawaeleza kama wale ambao tayari wanawatoto/mtoto
kama wanaweza kutoma maombi. maana hiyo range ya 18 -30
unaweza wakuta wenye vibebi lakini hawajaolewa.

mmmhhh jamani weye mie bado sitafuti mtu...
labda wanaume wenzangu ......
 
hilo chozi nani kakukwaza nimfinye?

mmmhhh dear hilo chozi liache tu..
laelezea mengi sana..

mmmhhh na mie ningefurahi
kama we ungenionyeshe pic yako....
hata kama ni ya chozi ka yangu ......hahah lol
 
mmmhhh dear hilo chozi liache tu..
laelezea mengi sana..

mmmhhh na mie ningefurahi
kama we ungenionyeshe pic yako....
hata kama ni ya chozi ka yangu ......hahah lol

mmmh hizi ndevu zitakutisha.... nikinyoa ntabandika picha
 
mmmh hizi ndevu zitakutisha.... nikinyoa ntabandika picha
mmmhhh jamani mie ndevu napenda sana...
mkato wowote tu unafaaa..

ka ziko ka Crag David hiyo romantic.
kama za Osama hiyo ni mmmhhh hata jina bado sijapata kwa sasa..

mie sitaki nywele kifuani tu...
 
ha ha ha ha!
Lokissa umenichekesha sana.
Ila kweli unaweza ukakutana na lichimpanzee..mmmh!
Nikiwa kama bibi wa miaka 60 nishakuwa disqualified. Lol!
 
mmmhhh jamani mie ndevu napenda sana...
mkato wowote tu unafaaa..

ka ziko ka Crag David hiyo romantic.
kama za Osama hiyo ni mmmhhh hata jina bado sijapata kwa sasa..

PHP:
mie sitaki nywele kifuani t
u...

hapo kwa craig david napaweza ila ulivyomalizia sasa ndio pagumu

ingewezekana ningepiga bomu hichi kifua...looool
 
hapo kwa craig david napaweza ila ulivyomalizia sasa ndio pagumu

ingewezekana ningepiga bomu hichi kifua...looool

mmmhhh kwa nini jamani
sasa upiige bomu kifua halafu mie ntaonga na nani JF..
na Crag David wangu ndo katimua kimoja hivyo..

mmmhhhhh mambo ya bomu tuyaache...
tunzetu baharini tukalitumbukize lilipukie huko huko dear
hahahahah lol
 
mmmhhh jamani mie ndevu napenda sana...
mkato wowote tu unafaaa..

ka ziko ka Crag David hiyo romantic.
kama za Osama hiyo ni mmmhhh hata jina bado sijapata kwa sasa..

mie sitaki nywele kifuani tu...

we hupendi gadeni lavu? watakucheka watu.
 
mmmhhh kwa nini jamani
sasa upiige bomu kifua halafu mie ntaonga na nani JF..
na Crag David wangu ndo katimua kimoja hivyo..

mmmhhhhh mambo ya bomu tuyaache...
tunzetu baharini tukalitumbukize lilipukie huko huko dear
hahahahah lol

dear kwa hiyo utakivumilia kifua changu na manyoya yake?

naogopa nsijetafutiwa asiye na manyoya:mwaaah:
 
we hupendi gadeni lavu? watakucheka watu.

mmmhh mie borea nichekwe lakini nasema ukweli..
na mie ndo ntakuwa na huyu kidume changu..

mmhh mie hata sioni ka love garden..
mie nadhani ni grass garden..

mmmhhh nikiwa nacheza uwanjani sitaki kuwe na mawe nisije kujikwaa nikaji vunja meno bure mtomto wa watu...
 
jaluo nyeupe vipi mwanawane? bado zali halijaclick? kama namna gani vipi wabadilishie avatar, si unajua wamejifanya kukatia rufaa avatar bana.
 
jaluo nyeupe vipi mwanawane? bado zali halijaclick? kama namna gani vipi wabadilishie avatar, si unajua wamejifanya kukatia rufaa avatar bana.

Kweli eeh! itabidi niuzingatie huu ushauri, lakini rose amechukia suti niliyovaa naamini wapo wengine wanapenda mvaa suti au we unaonaje?
 
Kweli eeh! itabidi niuzingatie huu ushauri, lakini rose amechukia suti niliyovaa naamini wapo wengine wanapenda mvaa suti au we unaonaje?
hawa mamanzi wa kibongo hawaeleweki kama rais wao, hata ukiwawekea vazi takatifu watakomplain tu. wewe komaa nao na hilo hilo suti mazee.
 
hahahaha dearest umenichekesha lol na umenikumbusha kuna m2 nilishawahi panga kukutana nae, nikafika kabla yake alivyofika akaniambia alivyovaa ile kuingia do salale c kibabu jamani nilijifanya naenda toi baada ya hapo nikaishia alipiga cm na kunitext mpaka akachoka. Yaani humu mitandaoni 2nadanganyana sana na lokissa asante kwa ushauri kwani ingetokea kawahi yeye mi c ningemwambia nguo halis nilovaa na sijui ingekuaje mwe!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…