Je, Mwanamke akikataa kuolewa mwenzie amekufuru?

ramadhani kimweri

Senior Member
Apr 22, 2016
181
178
SWALI :

JE,KILA MWANAMKE ANAECHUKIA UKEWEZA ANAKUWA KARITADI?

الجواب: Jawabu

غيرة المرأة على زوجها أمرٌ جِبِلي فِطري، ولا يمكن أن يُقال للمرأة لا تغاري على زوجك!

Wivu anaoufanya mwanamke wakiisilamu kwa mumewe nijambo la kimaumbile La fitwra (ndivyo Alivyo umbwa, ) na wala haiwezekani isemwe kuwa eti kuna mwanamke hana wivu na mumewe!.

وكراهة الإنسان الشيءَ -وإن كان مشروعًا-؛ لا يضرُّه ما دام لم يَكره مَشروعيَّتَه؛ قال الله -تعالى-: {كُتِبَ عَليكُمُ القِتالُ وَهُو كُرْهٌ لَكُمْ وَعَسَى أَنْ تَكْرَهُوا شَيْئًا وَهُوَ خَيْرٌ لَكُمْ وَعَسَى أَنْ تُحِبُّوا شَيْئًا وَهُو شَرٌّ لَكُمْ}.

Na mtu kuchukia kitu - atakama hicho kitu nisheria- Haidhuru chochote maadamu hajachukia kuletwa sheiria iyo.(Haja pinga kwamba sio sheria ya Allaah , akipinga hilo ndio anaritadi).

Allaah asema: Mumefaradhishiwa nyinyi Qitaal (vita vya jihadi) nalo hilo nichukizo kwenu (wengi mnachukia jambo hilo) lkn huenda mkachukia jambo kumbe nikheri kwenu na huenda mkapenda jambo kumbe nishari kwenu.

والمرأة التي عندها غَيرة لا تَكرَهُ أنَّ الله أباح لِزوجها أن يتزوَّج أكثر مِن واحدة؛ لكن تكرَه الزَّوجة معها، وبين الأمرَين فَرقٌ ظاهر.

Na mwanamke ambaye anawivu Hachukii kwanini Allaah kahalalisha kwa mumewe kuowa wake zaidi ya mmoja lakini anachukia kuwa na mke mwenzake (huo ni wivu wakawaida) na kati ya mambo hayo mawili kunatofauti ya wazi kabisa.

ولهذا: أرجو من الأخ السائل وغيره أن يتمعنوا في الأمور، وألا يتسرعوا، وأن يعرفوا الفُروق الدَّقيقة التي تختلف بها الأحكامُ اختلافًا ظاهريّ.

Na kwahivyo namuomba ndugu muulizaji na wengineo wayatizame mambo kwa umakini , ili wasije kujiingiza katika uharaka wa(kukufurisha watu) na wajuwe tofauti (kati ya kuchukia sheia na kuchukia mke mwanzake) kwani hii nitofauti ya ndani sana ambayo inatofautiana ktk hii hukmu lkn (kwa wenye kufahamu) ni ikhtilafu ya wazi.

Imetolewa katika fataawa ya Sheikh swaaleh Al'utheimiin Allaah amrehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom