Nenda pale Jangwani ukamuulize daktari wa Mihogo
Wewe ndo ulijiaminisha kuwa dogo anajua mpira Ila huenda dogo hajui mpira , au kakutana na wajuvi wenzake , hakuna mchawi hapo mwambie ajiamini tuu , akomaeHivi uchawi unafanya kazi kwenye mpira?
Mimi nina mdogo wangu ana miaka 14 mwaka kesho hapo atakuwa na miaka 15. Sasa huyu mdogo wangu ni mchezaji wa mpira, anapenda mpira sana.
Na kwa bahati nzuri alipata bahati ya kuchukuliwa na timu ya vijana chini ya miaka 16 ya Royal Beauport. Hii ni timu kubwa tu, huku Canada inashiriki Ligi Kuu ya Canada.
Ila cha ajabu toka atue kwenye timu hii amepoteza kipaji chake, nimekuwa nikimfatilia kwa umakini amekuwa tofauti na yule wa zamani.
Kipindi cha nyuma alikuwa bora sana, kuanzia kwenye kasi, kupiga chenga, na pasi. Ila nahisi ni kwasababu kipindi cha nyuma walikuwa wanacheza tu kwenye timu za shule, kwasasa amekutana na wachezaji bora zaidi yake ndiyo maana amepotea, na akiendelea vile wanaweza kumtema kabisa.
Sasa nataka kujua je, mpira una uchawi? Labda ninaweza kufanya jambo kwa ajili yake. Napenda kuona akiendelea zaidi.
Awaulize waliomwaga maji ya maiti jumatano wakapata drawWa0lize mbumbumbu SC
Mpira upo kote?? Je kama ni timu nyingi za africa zingefanya vizuri kombe LA dunia? Ila kila mechi unayoiona unachezwa kablaTANZANIA mpira ni uchawi nje mpira ni hesabu na timing
Na mzee wa Unga unga wa Gadiel Michael kule Mbeya, nampataje?Onana na wazee wa yanga watakusaidia maana wakicheza mechi na simba wako tayari mpaka kuua ili wasifungwe hata wawe na team mbovu kiasi gani.
Aliyekwambia kashuka kiwango ni nan ? Unajua huko alikoenda ameambiwa acheze vp? sport academy nyingi za bongo wanafundisha watoto Mpira wa matokeo, Ila kwa wenzetu huanza kufundisha principles za mpira, katika kipindi hichi mtoto hata afungwe sio tatzo Ila afate principles alizifundishwa.Hivi uchawi unafanya kazi kwenye mpira?
Mimi nina mdogo wangu ana miaka 14 mwaka kesho hapo atakuwa na miaka 15. Sasa huyu mdogo wangu ni mchezaji wa mpira, anapenda mpira sana.
Na kwa bahati nzuri alipata bahati ya kuchukuliwa na timu ya vijana chini ya miaka 16 ya Royal Beauport. Hii ni timu kubwa tu, huku Canada inashiriki Ligi Kuu ya Canada.
Ila cha ajabu toka atue kwenye timu hii amepoteza kipaji chake, nimekuwa nikimfatilia kwa umakini amekuwa tofauti na yule wa zamani.
Kipindi cha nyuma alikuwa bora sana, kuanzia kwenye kasi, kupiga chenga, na pasi. Ila nahisi ni kwasababu kipindi cha nyuma walikuwa wanacheza tu kwenye timu za shule, kwasasa amekutana na wachezaji bora zaidi yake ndiyo maana amepotea, na akiendelea vile wanaweza kumtema kabisa.
Sasa nataka kujua je, mpira una uchawi? Labda ninaweza kufanya jambo kwa ajili yake. Napenda kuona akiendelea zaidi.
Mwambie avae jezi nyeusi halafu aonane na mganga wa mihogoHivi uchawi unafanya kazi kwenye mpira?