Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

fursa popote zipo ni kuzichangamkia mfano bidhaa za duka sehem yoyote zinanunulika au ukifungua kijiwe cha kitimoto na bia lazima uuze kwasababu binadamu wanapenda starehe
 
Na wewe unadanganya mbona? Mjini to Kasekese dk 10? Kufika tuu Nkungwi au Sibwesa karibia 30 au dakika 40 sembuse Kasekese? Pili issue ya treni nayo siyo reliable maana kila mtu anategemea na mizigo ni mingi, mwaka jana watu mahindi yaliharibika yakiwa stesheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…