Kwa vile umeingia choo sicho.Wamekuchunia ngoja nikujibu
Kwanza acha uongo,tafiti zako sizo kabisaaaa.
Hembu muogope Mungu kwanza,we Dawa gani umeona Duniani ya Kuondoa mawazo zaidi ya kusikiliza neno la mungu upate Faraja.Dawa moja tiba telee
Yaani tangu serikali ianze shunghuli ya kuwashughulia na mabango yenu basi ni sheeeda.
Kila mtu naongeza Nguvu za kiume.Nyie ndio mnaongoza kwa kuongeza wagonjwa wa Cancer Ocean road.
We tafuta mtu mwenye Age hiyo umkute anasimamia show ndio utajua.
Waganga wengine mmekimbia kijijini kuja mjini mwisho wake ndio huo,kesho utasikia unaunga watu na freemason.
Halafu wengi sana mmetoka Kanda ya ziwa.
Nakushauri tafuta magazeti ya Shigongo ndio dizaini zako,wenzio wapo mle teleee na matangazo yao.Wengine hadi utajiri ukitaka wanakupa.
Akili kumkichwa,tunawachoka sasa.