Je, mnajua kwamba asilimia kubwa wa Tanzania tunakataa watoto wetu bila kujijua?

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..

Kuna kitu ambacho wanaume wengi wa ki Tanzania tunakifanya lakini hatukijui kwa sababu ya kutoelewa science vizuri.

Ngoja nitoe mfano ambao darasa hili nililipata kwa mzungu mmoja ambapo nilibaki na mshangao kwa kiasi fulani.

"Wakati mnapofanya mapenzi mnamwaga shawaha nje kama mara tatu ili kuepuka mimba.. Lakini mimba inapatikana tu, vipi inapatikana? Unapomaliza kufanya mapenzi mwanamke anakufuta kwa kitambaa, kumbuka shahawa zina nguvu sana. Kuna zingine zinabakia baada ya kujifuta zinatoka baada ya kujifuta.... Ukitakana kuamini hilo nenda kapige punyeto halafu ukimaliza jifute, kaa kama sekunde kadhaa jiangalie je hakuna kitakachotoka?"

Najua na hapa wataalam wapo em naomba tushee kwa pamoja ni kweli haya?
 
Huko ni kujifariji tu mkuu ili kulea watoto ambao baada ya miaka kadhaa unaitwa baba mlezi na sio mzazi!ingekuwa hivyo basi usingesikia kuwa kuna tatizo la wanaume ambao hawana uwezo hakusukuma kwa kasi mbegu zao na kushindwa kupata watoto!mkuu mchunguze vizuri huyo mzungu usikute ni zeruzeru
 
una ushahidi mkuu?maana shahawa(sperms)na kinachotoka baada ni vitu viwili tofauti. Don't agree everything you found on internet
 
Huko ni kujifariji tu mkuu ili kulea watoto ambao baada ya miaka kadhaa unaitwa baba mlezi na sio mzazi!ingekuwa hivyo basi usingesikia kuwa kuna tatizo la wanaume ambao hawana uwezo hakusukuma kwa kasi mbegu zao na kushindwa kupata watoto!mkuu mchunguze vizuri huyo mzungu usikute ni zeruzeru
Mbegu lazima ziruke
 
Back
Top Bottom