nIMEANZISHA THREAD KAMA HII KWENYE JUKWAA LA SIASA. MAANA HATUJAPEWA TAARIFA KUNANI PALE.
ikiwezekana kwenye headings zote za threads tuandike haya malalamiko maana ni kama tupo kwenye nyumba kuubwa ila kila mtu kafungiwa kwenye chumba chake.
Mods pls mtujuze au la TUTAWAPANDIA huko huko