Je Mkojo wa popo una madhara?

Andika wosia mkuuu ..kakangu alikojolewa hivyo hivyo mwaka huu ni wa 6 tuko naye salama tu.
...
Wosia Tena mkuu, Sasa kama kaka yako yupo salama mwaka wa sita inamaana hajapata madhara yoyote
 
FIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?
 
FIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?
Yaweza ikawakojo wa popo una hatari, ndiyomaana nimeuliza ni hatari zipi zinaweza kutokea kiafya au kibimadamu
 
FIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?
Yaweza ikawakojo wa popo una hatari, ndiyomaana nimeuliza ni hatari zipi zinaweza kutokea kiafya au kibimadamu
Acha kukaa chini ya mapagara , punguza stress ndugu , kwani huna dettol hata ya asili ? Ogea hata na mchai chai unukie fresh 🤣
 
Acha kukaa chini ya mapagara , punguza stress ndugu , kwani huna dettol hata ya asili ? Ogea hata na mchai chai unukie fresh 🤣
Nilikaa chini ya mti sio pagara, Sina stress Wala Sina shida ndogondogo..

Nilioga na sabuni nzuri, ila bado nahitaji kujua kuhusu Hilo.
 
Mkuu mbona unanitisha, kama ni kweli weka wazi hapa ni tatizo Gani naweza kupata
Utakuwa mlima mashamba, mvunaji, mbebaji n.k yaani wanaita msukule au kisasa robot, bado hujachelewa kijana wahi haraka tuweke mambo katika mstari.
 
Ugonjwa wa kichaa cha Mbwa hausababishwi na Mbwa peke yake hata Paka, Popo na Mbweha wanaweza kukuambukiza kwa kukung'ata au mikwaruzo hususani kwa watoto na wafugaji ambao hupendelea kucheza nao

Ugonjwa huu ni hatari sana, hukua kwa kasi na huweza kusababisha kifo ndani ya masaa au siku chache katika hatua zake za mwisho

Unazuilika kwa kuwachanja wanyama wote wanaofugwa wanaoweza kuuambukiza na kuchoma chanjo mara baada tu baada ya kung'atwa, kukwaruzwa au kugusana na mnyama au binadamu aliye kwisha kuambukizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…