Je Mkojo wa popo una madhara?

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
1,157
Reaction score
2,191
Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa.

Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
 
Unaijua babonic plague
 
popobawa anakuja kukupa mwongozo...
 
Pole sana mkuu, hapo ulishapata upopoma tayari. Wahi hospitali kwa daktari bingwa wa popology.
Nimeoga na sabuni Kali sana, sijahisi muwasho wowote ila bado Nina wasiwasi ndiyomaana nimeuliza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…