Je, mimea huwa inalala usingizi?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Yamkini ni tafakauri isiyo na maana ama ni upungufu wa Elimu na maarifa..
Lakini naomba kujuzwa kama mimea ni viumbe hai kwa maana inakula na kupumua. Ikivuta hewa ya chafu kwetu na kuachia hewa tunayoitumia sisi je.
Viumbe hai hivi huwa vinalala usingizi.?
Na kama huwa mimea inalala je ni saa ngapi hulala huo usingizi?

Je kwa kawaida mti unaweza kuishi kwa miaka mingapi?
 
Kwwkweli sifahamu... however, kulala sio sifa miongini mwa sifa za viube hai
 
Tafsiri isiyo rasmi:
Kulala ni kitendo cha kupumzika na kusafisha selli mfu kwa wanyama, je mimea husafishaje selli mfu zake ni Kupitia magamba yake!.
Je binadamu/wanyama tunasafishaje selli mfu zetu? ni kupitia kuoga, kukaa juani etc!.
Mimea haina kitendo cha kupumzika- HAILALI.
 
Ahsante sana Mkuu umesaidia kunitoa tongo tongo.!
Je Miti inaweza kuishi miaka mingapi kwa ukomo?
 
Plants don't have central nervous systems that seem to be key in what we think of as sleep in humans. But plants do have circadian rhythms tuned to Earth's 24-hour light-dark cycle, which they maintain even if they're kept in light fulltime, just as we do. And that is where things get really interesting
 
Every living thing in this world have Ciradian Rhythm of its own!. That ain't a thing to be interested with!. Its a common thing!.
 
Ahsante sana Mkuu umesaidia kunitoa tongo tongo.!
Je Miti inaweza kuishi miaka mingapi kwa ukomo?
Under everthing constant they can go 100 years upward who knows!..
 
Ahsante sana Mkuu umesaidia kunitoa tongo tongo.!
Je Miti inaweza kuishi miaka mingapi kwa ukomo?
Nafikiri inategemea aina ya mti.
Kama ilivyo kwa wanyama/animals umri wa kuishi binadamu hauwi sawa na umri wa mbuzi kuishi.
 
Wakalimani samahani tusaidieni hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…