Je milioni 6.5 naweza kuagiza mzigo kiwandani china?

Unaweza ila angalia unataka ilimradi umeagiza au unaitaji faida? Mm ningekushaur anz kudadisi ain ya biasbara au bizaa ambay unaitaji angalia kwa washushaji kkoo angalia mface ongea nae akuuzie ukishakua poa uanze muagizia
 
Huo mzigo labda kama utatosha kwenye bahasha ya A4 unaweza ukaagiza.
Mbona sie tuanagizaga magari kutoka Japan na yanafika kwa mtaji usiozidi M 10? Changamoto utayokabiliana nayo sana sana ni kwenye usafiri. Wengi wanapenda wateja amabo wanataka kontena la kuanzia futi 20.
 
Back
Top Bottom