BIASHARA NYINGINE NZURI NI YA NG'OMBE
hii biashara bwana inalipa sana asikwambie mtu.
kuna watu wananunua ng'ombe waliokondoena kwa laki 2 mpaka 2.5 kisha wanakuja kuwanenepesha kwa miezi miwili mitatu wanakuja kuwauza laki 5 mpaka zaidi.
Kama una eneo/shamba Jenga Banda tafuta kijana Ajiri kisha Fanya hili wazo kwa vitendo,Kumiliki Pesa maburungutu ni simple sana.
Ukiingia kwenye kilimo ili uone matunda ya kilimo chochote unachokitaka hakikisha hutegemei MVUA tenga 5m chimba kisima cha uhakika.
Chimba visima vya kuhifadhi maji utakayochota toka kisima ulichochimba...
Baada ya hapo uhakika wa maji utakua nao 24/7 Kifuatacho wewe usilime kuwafatsha wategemea mvua, wakati wao wanavuna wewe una Panda wakati wao wanaanza kuandaa mashamba wewe Unavuna.. Unapishana Nao.
The rest ni siri za kambi ingia mchezoni upige pesa usije na wewe ukaingia kwenye kundia wale raia wakiona kijana mdogo ana pesa wanamuita freemason.