Je, Meya Ukawa...Serikali CCM ni shidaa?

Mnyasa

New Member
Oct 30, 2007
3
0
"Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob na Mkuu wa wilaya hiyo, Paul Makonda wameingia kwenye mvutano kuhusu kuvuka mipaka ya utendaji wa halmashauri hiyo" Gazeti la Mwananchi ya tarehe 22/02/2016

Nimeandika hii kwa kuangalia uchaguzi unaokuja wa Meya wa Dar es Salaam! Nina wasiwasi sana, uchaguzi utalete malumbano makubwa zaidi kama matokeo hautaeleweka! Dar es Salaam ndio Tanzania. Mimi nawauliza nyie wadau kama Meya atatoka Ukawa na Serikali ni ya CCM?

Meya wa Dar es Salaam, atakuwa kiungo kikubwa sana cha Serikali ya CCM, Je akiwa wa Ukawa haitaleta SHIDAAA! mfano mdogo uko Kinondoni!
 
Back
Top Bottom