Uchaguzi 2020 Je, Membe akichukua nchi 2020 ataweza fanya mazuri kama ya Magufuli?

kwani hujui kwamba vijana wanakopeshwa na serikali kupitia taasisi mbali mbali? tena bila riba?
Wanapelela saccos wanakopesha kwa masharti ambayo graduate hayawezi mfano unaambiwa uoneshe shamba la miti au nyumba pia still riba zipo juu ndo maana haijasaidia kitu zaidi wanafaidi matajir.
 
Unadai una Bachelor, First Class, Mzumbe, tena "Main Campus"?

Sitaki kuungana na huyo mwingine aliyehoji hizi elimu mnazopata zinawapeleka wapi..
First class? Hivi kwa bongo hii unaweza kutambia first class yako ya chuo cha humu tz? Ungepata first class ya Toronto kama jirani yangu si ungetamba sana hapa TZ ? Hebu tutolee na first class yako apa. Sisis tunachokitaka ni output na sio kujitanabaisha na mivyeti mingi yenye less application
 
Kama Magu kawa raisi miaka yote hii, basi hakuna mtanzania hata mmoja atashindwa
 
Yafuatayo ni baadhi ya mambo mazuri mno ambayo kayafanya raisi wetu mpendwa na kila mpenda maendeleo ambayo ni
1. Kutengeza uhusiano mzuri wa kidiplosia na wanywaranda
2. Kukuza uchumi kwa 7 percent
3. Viwanda na biashara mpya kufunguliwa huku chache zikifungwa kwani walizoea madili...
11.Siyo kweli badala yake watu wamekuwa wanafiki hakuna umoja wa kitaifa mfano kwenye kikokotoo
 
First class ? Hivi kwa bongo hii unaweza kutambia first class yako ya chuo cha humu tz? Ungepata first class ya Toronto kama jirani yangu si ungetamba sana hapa TZ ? Hebu tutolee na first class yako apa. Sisis tunachokitaka ni output na sio kujitanabaisha na mivyeti mingi yenye less application
Sio mimi mkuu 'Mzee Wa Republican' ninayetamba na hiyo 'First Class'.
Elekeza maoni yako kwa mhusika. Mimi hata kidiploma sina.
 
Back
Top Bottom