Watu waliowengi hukosea mahesabu ya siku zao alafu hujiona kama kizazi kipo mbali.
Wadada wengi hushindwa
kuhesabu vizuri siku zao na wengine hawajui na hasa kama mmeo au mchumba yupo mbali.
Lakini pia mnaongoza kuwatunuku waganga wa jadi pesa kisa upate mimba na kwa kuwa waganga wengi hucheza na saikolojia watakuuliza maswali ambayo kwao ni jibu la tatizo lako.
Nikushauri kama kweli unajua kutumia kalenda na imeshindikana nenda hospital kacheki kizazi, na kama hujawahi kufanya abortion naamini una kizazi ila kalenda ni shida.
Sent using
Jamii Forums mobile app