Je, matumizi ya asali yanasaidia kwa wenye matatizo ya uzazi?

tyina

Member
Jul 11, 2017
94
28
Hivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waliowengi hukosea mahesabu ya siku zao alafu hujiona kama kizazi kipo mbali.

Wadada wengi hushindwa kuhesabu vizuri siku zao na wengine hawajui na hasa kama mmeo au mchumba yupo mbali.

Lakini pia mnaongoza kuwatunuku waganga wa jadi pesa kisa upate mimba na kwa kuwa waganga wengi hucheza na saikolojia watakuuliza maswali ambayo kwao ni jibu la tatizo lako.

Nikushauri kama kweli unajua kutumia kalenda na imeshindikana nenda hospital kacheki kizazi, na kama hujawahi kufanya abortion naamini una kizazi ila kalenda ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wataalamu waje japokuwa haya mambo ya tiba lishe yanahitaji muda kidogo mpaka tatizo litatuliwe pamoja na kubadili mfumo mzima wa maisha. Jaribu kupitia jukwaa la JF Doctor utakuta nyuzi mbalimbali kuhusu matumizi ya asali bila kusahau kupitia comment kadhaa kwenye kila uzi, nina imani kwa kufanya hivyo na ukitumia YALE YA KUAMBIWA na UKACHANGANYA NA ZA KWAKO kuna kitu utapata. Kwa kuanzia nimepata hili bandiko sehemu (check link) na of course mwenye bandiko ni member pia humu (MziziMkavu ) hivyo soma hiyo na tafuta mabandiko mengine pia

https://mzizi-mkavu.blogspot.com/2014/04/faida-27-za-kiafya-zipatikanazo-kwa.html
 
You are so sweeet honey, asali huongeza utamu wa tendo lenyewe na kufanya kila mmoja kuwa-reluxed, valve zote kufunguja ka VX liwapo barabarani hivyo uchavushaji kutokea kirahisi
 
Watu waliowengi hukosea mahesabu ya siku zao alafu hujiona kama kizazi kipo mbali.

Wadada wengi hushindwa kuhesabu vizuri siku zao na wengine hawajui na hasa kama mmeo au mchumba yupo mbali.

Lakini pia mnaongoza kuwatunuku waganga wa jadi pesa kisa upate mimba na kwa kuwa waganga wengi hucheza na saikolojia watakuuliza maswali ambayo kwao ni jibu la tatizo lako.

Nikushauri kama kweli unajua kutumia kalenda na imeshindikana nenda hospital kacheki kizazi, na kama hujawahi kufanya abortion naamini una kizazi ila kalenda ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nilichojifunza kwenye issue ya kutafuta mtoto inatakiwa kuchukuliwa serious sometime ikiwezekana hata kutafuta kipindi ambacho mtu upo huru kiakili na kimwili ukiwa huna deni lolote yaani deni kwa maana kila kitu kazini / kwenye mishemishe zako kimekaa poa na mnachukua kalikizo kafupi ka kama siku 10 kwa kutegea mambo flani hapo nilipo bold...mtajikuta mpo pamoja muda mrefu na mna enjoy kwa pamoja na mara nyingi mambo huwa yanakuwa poa (kikubwa likizo kama hiyo mmoja ndio anaelewa lengo la pili la mapumziko hayo ni kutafuta mtoto ila mwingine ambae ni mwanamke anachotakiwa kujua ni mmeenda ku-enjoy maana wakati mwingine kumtafuta mtoto kwa kupania hasa kwa mwanamke huwa hormone zinagoma japokuwa sio mtaalaam)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom