hajawahi kuwa mwanasiasa huyu mama, (alipewa ubunge then uwaziri wizara laini laini-wanawake na watoto na mambo ya nje), i doubt kama siasa anaziweza na uongozi wa juu unamfaa..un administrative duties hazina mushkeli wa siasa na wala position yake haikua ya decision-making kwa sababu haikua executive position....kwa kifupi aachiwe agombanie jimbo 2015 apewe wizara ya sheria tumuone, au arudi kwenye ualimu awe Don pale UD, au ajihusishe na masuala ya kujitolea ya wanawake na watoto, kumfikiria kazi zingine ni kiuharibu uzoefu na kipaji chake.