Je, Lowassa amezichoma moto nguo za CCM?

Je, Lowassa amezichoma moto nguo za CCM?

Hasadi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
258
Reaction score
52
Wadau mi nilikua natakakuuliza zile nguo za lowasa za ccm amezichoma moto au amezifungia tu kabatini au alizirudisha ccm?
 
Ni zake zile sio sare za jeshi hatakiwi kurudisha je wewe unaponunua ndom kama hujazitumia kesho unarudisha Dukani!
 
Wadau mi nilikua natakakuuliza zile nguo za lowasa za ccm amezichoma moto au amezifungia tu kabatini au alizirudisha ccm?

ebu jaribu kukua kidogo tu, hata kama balehe ndio inaanza jikaze ujifanye mzee ama kingunge....maada gani hizi
 
Niliona anampa jamaa nmoja hivi anashabikia yanga.
 
Kwani wewe ni mke wake mpaka utake kujua hayo yote?
 
Back
Top Bottom