Hao waliorudi mpaka sasa unawaonaje na impact yao?? Wamepuuzwa!!1. Mwapachu aliwatukana akahama na baadae akarudi akapokelewa kwa mikono miwili.
2. Wasira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi na kuituhumu ccm kwa rushwa lakini aliporudi alipokelewa na kupewa uwaziri katika awamu mbili tofauti za uongozi.
3. polepole aliwahi kusikika akisema uchaguzi ukiwa guru na Wa haki ccm ijiandae kukabidhi madaraka, lakini alipogeukia huko harakaharaka alipokelewa na kupewa vyeo rukuki na sasa no katibu itikadi na uenezi Wa chama.
4.
5.
6
Je kwa mifano hiyo pamoja na kwamba wanambeza Lowassa, ikitokea akaamua kurudi huko, je atakataliwa?
Kwanini mkuu ukasema Lowassa kurudi ccm labda asiwe mwenyekiti jpm?Maviiiiiiiiiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] labda mwenye kiti asiwe JPM
Loooh!!!Maviiiiiiiiiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] labda mwenye kiti asiwe JPM
Maviiiiiiiiiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] labda mwenye kiti asiwe JPM
Maviiiiiiiiiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] labda mwenye kiti asiwe JPM
Lowasa akirudi ccm Chadema watapumua sana....kwa jinsi alivyowabana wanatamani hata leo atangaze kustaafu siasa.