Viongozi goigoi
Member
- Dec 28, 2016
- 50
- 52
Ni kweli kwa England Liverpool na Man city ni timu zenye vikosi vikubwa na vizuri kwasasa.
Ila sijui ni kwangu tu au VP...naona fainali ya UEFA ya mwaka haikuwa na ladha ile tuliyoizoea zinapoingia fainali baadhi ya timu zingine kubwa.
Hata ile ya Liver na R.Madrid mwaka Jana ilikuwa nzuri.
Hii ya Jana imepoa sana.
Goli la mapema liliua ubora wa mechi, lilifanya Liverpool warudi nyuma kulinda goli lao...wakati huohuo Tottenham hawakuwa uhatari wowote dakika nyingi za mchezo...actually mechi haikuwa na mvuto sanaNi kweli kwa England Liverpool na Man city ni timu zenye vikosi vikubwa na vizuri kwasasa.
Ila sijui ni kwangu tu au VP...naona fainali ya UEFA ya mwaka haikuwa na ladha ile tuliyoizoea zinapoingia fainali baadhi ya timu zingine kubwa.
Hata ile ya Liver na R.Madrid mwaka Jana ilikuwa nzuri.
Hii ya Jana imepoa sana.
Mkuu liverpool haina kikosi kikubwa bali ina kikosi kilicho boraNi kweli kwa England Liverpool na Man city ni timu zenye vikosi vikubwa na vizuri kwasasa.
Ila sijui ni kwangu tu au VP...naona fainali ya UEFA ya mwaka haikuwa na ladha ile tuliyoizoea zinapoingia fainali baadhi ya timu zingine kubwa.
Hata ile ya Liver na R.Madrid mwaka Jana ilikuwa nzuri.
Hii ya Jana imepoa sana.
Goli la mapema liliua ubora wa mechi, lilifanya Liverpool warudi nyuma kulinda goli lao...wakati huohuo Tottenham hawakuwa uhatari wowote dakika nyingi za mchezo...actually mechi haikuwa na mvuto sana
Hata fainali ya last season baada ya Salah kuumia ilikuwa mbovu, iligeuka ya upande mmoja
Just imagine mkuu na vuta kumbukumbu miaka ya nyuma...lbd fainali iwe ni Real Madrid na Juventus au Barcelona na Bayern...unafikiri ingekuwa vile?Ni kweli kabisa mkuu. Jana hata mimi sikuenjoy kabisa ile mechi.. yaani ilikuwa utadhani mechi ya ligi, ambayo timu zote hazina cha kupoteza kwa wakati huo.
Ndio...na nimesema ni kikubwa kwsbb ya aina ya wachezaji waliokuwa nje Jana. Shakiri, Keita, Chamberlain, Sturridge n.kMkuu liverpool haina kikosi kikubwa bali ina kikosi kilicho bora
Upana wa kikosi sio wingi wa wachezaji kwenye benchi bali ni wingi wa chezaji wazuri. Fikilia pale VVD ange umia nani angeenda kuziba nafasi yake kiasi Cha kwamba tusimiss kama alivyo toka Boby na Origi akaziba nafasi yake vizuri. Kiwazie kikosi kipana na chenye ubora cha cty ukiacha kipa ni eneo gan aina replecement nzuri.Ndio...na nimesema ni kikubwa kwsbb ya aina ya wachezaji waliokuwa nje Jana. Shakiri, Keita, Chamberlain, Sturridge n.k
Liverpool ni timu bora Ulaya,ndio maana wako nafasi ya 3,wampe muda klopp,msimu wa tatu mfululizo anashiriki fainali zinazoandaliwa na UEFA,SI JAMBO DOGO
Nafikiri hii ni moja ya weakness kubwa ya Liverpool, kikosi chao bora hakifanyiwi rotation ipasavyo hasa front three..wanahitaji attacker mwingine mwenye uwezo mkubwa, pia wanahitaji kiungo mwingine mshambuliaji, japo watakuwa na Chamberlain ambaye amepona majeraha yakeMkuu liverpool haina kikosi kikubwa bali ina kikosi kilicho bora
Sanasana Liverpool na Manchester City, hawa Juventus nao wapo kwenye wakati mgumu sana, team ina wazee wengi ambao hawawezi kuhimili kasi ya vijana, refer mechi vs Ajax zilivyokuwaKwaulaya best teams ni man city na Liverpool, wale giants buyern Munich,Real Madrid,Barcelona wapo kwenye kipindi cha mpito baada ya kuwa namisimu kadhaa bora ila now wameshuka,japo juventus anaweza kuingia kwa city naliver
Yeah nikweli mkuuSanasana Liverpool na Manchester City, hawa Juventus nao wapo kwenye wakati mgumu sana, team ina wazee wengi ambao hawawezi kuhimili kasi ya vijana, refer mechi vs Ajax zilivyokuwa
Alafu mabeki wao wote wazuri umri umekwenda,siku hizi wanafanya makosa mengi sana
Forward wao ni mandzukic ambayo silaha yake ni kichwa na umri wake pia umesogea
Na haina pia kiungo mshambuliaji wa kuongeza creativity mbele
Fair enough.Kwasasa ni Klabu bora ulaya ,halina ubishi hilo
Hawa jamaa wana DNA YA UCL, sitashangaa mwakan nikiwaona Istanbul tena ,
Uko sahihi kabisa!Kwasasa ni Klabu bora ulaya ,halina ubishi hilo
Hawa jamaa wana DNA YA UCL, sitashangaa mwakan nikiwaona Istanbul tena ,