kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,743
- 2,920
je nikipaka limau baada ya kunyoa ndevu kuna madhara kwenye ngozi?
ahsanteHalina madhara lakini nadhani halina msaada kwa ngazi maana lengo la kupaka spirit baada ya kunyoa ni kuua bakteri sasa limau lina vitamin C nyingi ambayo haina antibacterial effect. Nadhani nitakuwa nmekusaidia
maana nasikia sprit inakomaza ngozi kwa hyo nataka nitumie limau kama aftershaveKwanini upake limao au basi tu akili yako imekutuma kupaka limao?