Je, KY gel ina uwezo wa kuzuia mwanamke asipate mimba?

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
674
1,087
Habarini za muda huu wadau.
Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa KY jelly zinazotumika kulainishia sehem za siri wakati wa kujamiiana zinaweza kutumika kuzuia mimba, je kwa wanaofahamu ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, shida kubwa ni birth control. Kutumia njia nyingine kuzuia mimba kwa mtu ambaye hawahi kuzaa mara nyingi zinawasababishia ugumba, kuna mtu aliniambia amepata ushauri atumie KY. Ndio nataka nijue ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ky mkiitumia kwa marengo yaliyokusudiwa kwa mbele lazima mwanamke apate mimba lakini mkiitumia kula utumbo hawezi kupata mimba
 
kwa mbele tu. Nimeuliza kama kuna wataalam wa afya waseme labda ina kemikali zinazoweza kuua mbegu za kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa ndiyo kazi kubwa za ky
1. Kulainisha njia za mkojo za uume au uke kwa ajili ya kuingiza vifaa vya uchunguzi
2. Kulainisha uke kwa ajili ya kuingiza vyombo cha uchunguzi
3. Kulainisha sehemu ya nyuma ya mwanaume/mwanamke kwa ajili ya kuingiza vifaa vya uchunguzi
4. Kuna wanawake wanakuwa wakavu mbele kwa hiyo ky hutumika ili kutojichubua

Matumizi yasiyo rasmi

1. Kufirana kati ya mwanaume na mwanamke au mwanaume kwa mwanaume
Nb: nchi za ulaya haya pia ni matumizi rasmi, kwa waafrika wanalazimika kutumia mafuta ya kupaka au mate ili kufirana hii inaweza kupelekea kutokea kwa matatizo mengine
 
Nakumbuka niliwahi msikia H.Kigwangalla anasema KY ni maalumu kwa vidonda/majeraha. Ndo maana hawawezi kuizuia isiuzwe ovyo!. Sasa sehemu za siri nazo ni kidonda!?
 
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka niliwahi msikia H.Kigwangalla anasema KY ni maalumu kwa vidonda/majeraha. Ndo maana hawawezi kuizuia isiuzwe ovyo!. Sasa sehemu za siri nazo ni kidonda!?
Huyo achana naye nadhani huyo ni daktari wa mifugo pori
 
Hapo katika matumizi yasiyo rasmi ongezea na masturbation.
 
Mate yanatatizo gan mkuu? Nimeona umeyataja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…