MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Mademu wa sasa ukimtongoza kuna mambo atakuuliza na kuangalia.yafuatayo ni mambo ni baadhi ya mambo ambayo lazma demu aangalie 1.kiwango cha elimu 2.kiato chako 3.umbile lako 4.utambulisho wako ktk jamii 5.kustarehe.sasa jamani 2jiulize hiv ni kweli v2 hiv ni muhimu ktk mahusiano.

mapenzi ya kweli yapo tena sana na yanatiririka kila siku kwenye mioyo ya wapendaji. Swali la kujiuliza je wewe binafsi una mapenzi ya kweli? Neno unalomwambia unayetaka mapenzi ya kweli kwake ni la kweli? Nafsi yako inaeneza ukweli? Unajua binadamu tunasahau kwamba kuna mungu ambaye anaandika kila vilio tulivyowaachia wenzetu na sasa tunataka mwenye mapenzi ya kweli....never ever hupati embe dodo kwenye mti wa mwarobaini, na tunalipwa kadri ya tunavyowajalia wengine.
sio wote!!
mapenzi ya ukweli yapo na tunayo sana! shida ni vipi mkutane wenye hayo mapennzi ya kweli?
kweli lkn inatisha kama huna je sasa kama huna elimu ya chuo kama wanavyopenda wanawake wa kileo c utajuta kupenda