Je, kwanini Mashabiki wa Simba walitaka refa atolewe sub

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,011
Reaction score
32,907
#CRDBFACup Leo kuna watu wanatamani hadi refa afanyiwe SUB

Jana mechi ikiendelea Mashabiki wa Simba walirise Kwa kurusha chupa uwanjani huku wakiimba refa atolewe sub

Je nikweli bila nguvu za refa Simba huwa hawatoboi[emoji23][emoji23][emoji32]
 
Gemu ya maelekezo ile.. ingawa walitakiwa kufungwa 1:0, madogo wameshindilia kutokana na nafasi wwlizopata
 
Katika misimu hii mitatu hakuna team iliyonufaika na marefa kama yanga tangia kipindi cha nabi ndio makocha wanakimbia maana engineer hersi anawaambia sisi hatushindi kwasababu yako.
 
Katika misimu hii mitatu hakuna team iliyonufaika na marefa kama yanga tangia kipindi cha nabi ndio makocha wanakimbia maana engineer hersi anawaambia sisi hatushindi kwasababu yako.
Leta hiyo clip ya Hersi akiwapa maelekezo hayo Makocha tofauti na hivyo utakuwa ni mdomo wa yule ZUBEDA NDALA NDEFU
 
Simba jana alijilegeza ili asiende fainali. Kuna uwezekano pia walipanga matokeo, hivyo uchunguzi ufanyike mara moja. Haiwezekani SBS wawafunge goli 3 - 1, na wakati siku chache tu zilizopita waliwafunga goli 1-0!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…