mkuu hizo zote ni dalili za kufa kwa ccm.ashukuriwe Mungu wa Mbinguni kwa ccm kufa kabla ya October 25Wakati akiwa kigoma mgombea uraisi wa ccm bwana magufuli ,aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuia ya wazazi bwana bulembo alidai ccm haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa chato mwenyekiti wa mkoa bwana msukuma alimdhihaki mgombea wa ukawa eti alijinyea na Leo hapa geita wanadai lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa ccm ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende,naona ccm hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mmbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama bulembo, msukuma,lusinde ,origino komedi,wakaa uchi kama akina wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!mkuu hizo zote ni dalili za kufa kwa ccm.ashukuriwe Mungu wa Mbinguni kwa ccm kufa kabla ya October 25
Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.
Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!
Mkuu unajua nilicheka sana aliposema Chato LOWASA hakupata watu na Geita pia. Kwa kweli kama watu waliokuja Geita wote watampigia kura Lowasa , Magufuri hawezi hata kupata 20% ya kura za urais.Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.
Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!
Wamewajuwaje makomandoo wa Israel kama Saddam Hussein ambaye alitangazwa dunia yote hawakumjuwa kuwa alikuwa rais wa Iraq na siyo Kuwait.
Hawa watu kweli wamechoka, kuwapa tena utawala ni kutafuta laana kutoka kwa Mungu. Halafu mbona wanalalamika sana wakati bado wana dola angalao kwa siku hizi chache kufikia judgement day 25/10??