Je, kwa matokeo haya inawezekana kusoma Diploma ya Afya

Aanze certificate tu, angekuwa na D ya Physics angepata Dip lakini yote kwa yote Dip na Certificate havitofautiani sana maana sikuizi wanaunga unga akimaliza Certificate vizuri anaongeza mwaka mmoja tu anapata Diploma yake vizuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom