Je, kwa hili Simba na Clotus Chama nani mkubwa?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
HAPO KWANZA NCHEKE

Inawezekana simba ndio waliomuomba msamaha Chama (hii ni sawa una manzi mkali sana anakutawala, hata akifanya kosa wewe ndiye uta apologize ).

Benchika alisema hawezi kubali Chama kurudi kwa vile amemvimbia na hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na Simba walipiga biti kali, ambapo ilionekana Chama na Kapama lazima wang'oke lakini jana kinyonge sana wametangaza wamemsamehe Chama!

Je, nikweli Chama ni mfupa mgumu kwa Simba?

1706344936571.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Suala la Chama katika Club lilikuwa la kawaida kama mwajiriwa ndio maana hatua za kawaida zilichukuliwa.
Hayo maneno ya mara kocha kasema hivi mara vile ni ya hao Wacha-mbuzi na waandishi uchwara tuu.
Chama kaandika barua ya kuomba radhi na kasamehewa basi!
Kikawaida mchezaji anaihitaji sana timu akiwa kwenye mkataba kwani wakiamua wanaweza msahau na mkataba ukiisha jina limesahaulika.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yange yange Fc...gongowazi hamuamini macho yenu...na kwa umbea huu mbaba unafanya kazi muda gani ya kuingiza kipato...au una mshangazi ww umetanua tuu miguu kwny kochi unapost kila muda ishu za Simba... 😂 😂
 
Back
Top Bottom