Je kuwa na mpenzi lazima muoane?

Je kuwa na mpenzi lazima muoane?

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
7
Nimekuwa na kumbana na malalamiko ya vijana wa kike wengi sehemu mbalimbali za nchi yetu wakiwalalmikia vijana wa kiume ooh kanipotezea muda, kanichezea sasa naomba kujua kama kuwa na mahusiano ya kimapenzi lazima muane?
 
Lakini labda swali ndugu ni kuwa ni kwanini wanawake ndio mara nyingi hung'ang'ania kuolewa? Nadhani inategemea na makubariano yenu. Inawezekana kabisa kabisa kuwa mkaanzisha mahusiano yenu kwa lengo la kupatiana starehe tu pale inapohitajika. Kama ni hivyo, basi asiwepo hata mmoja kati yenu atakayezungumzia ndoa. Fanyeni tu starehe zenu na nendeni mkalale kila mmoja kwao. Tatizo la wasichana kulalamika ni kuwa wanaume huwa tunatumia mbinu nyingi kuwapata ikiwemo hiyo ya kuwaoa na kwa vile wengi wao wako-desperate for marriage, inakuwa ni rahisi kuwapata kwa njia hiyo. Hapo ndipo unaanza kulalamikiwa kuwa umemepotezea muda binti wa watu. Naamini kabisa upo uwezekano wa kuwa katika mapenzi na mkapatiana starehe bila shida ya kitu kiitwacho ndoa. Kwakifupi, siyo lazima mapenzi yaishie kwenye ndoa lakini chamsingi ni makubariano yenu ya mwanzo wa mapenzi yenu yanasemaje?
 
Nimekuwa na kumbana na malalamiko ya vijana wa kike wengi sehemu mbalimbali za nchi yetu wakiwalalmikia vijana wa kiume ooh kanipotezea muda, kanichezea sasa naomba kujua kama kuwa na mahusiano ya kimapenzi lazima muane?

Sio lazima ukiwa na mpenzi lazima muoane. Isipokuwa inatakiwa ijulikane kabla kwa pande zote kuwa mahusiano yenu ni short term. Hivyo kila mmoja anaingia kwenye mahusiano akijua kuwa ni ya kupitisha muda tu na si vinginevyo. Nafikiri jambo hili lingekuwa linawekwa wazi na kila mmoja akamaanisha, kusingekuwa na kuumizwa.
 
Kuna kipindi nilibahatika kufika huko nchi za magharibi siku moja nilikutana na wazee wawili kando kando ya mto wanabarizi nikaanza kupiga nao stori. Yule babu kama 70 na bibi kama 68 hivi. Si yule babu akanitambulisha kwamba yule bibi ni gf wake teh teh teh hadi leo sitakaa nisahau babu na bibi yule wapenzi wa long time.
 
Huyo sasa sio girl friend, wala woman friend bali ni grand ma friend.
 
Sio lazima mkuu ingawa wote wanaingia kwa mahusiano wakitegemea hayo matokeo! Mkishawekana karibu mnapata wasaa wa kujuana kiundani zaidi, kujuana huko ndio kutapelekea maamuzi ya aidha kuoana au kutokuoana!
 
Nimekuwa na kumbana na malalamiko ya vijana wa kike wengi sehemu mbalimbali za nchi yetu wakiwalalmikia vijana wa kiume ooh kanipotezea muda, kanichezea sasa naomba kujua kama kuwa na mahusiano ya kimapenzi lazima muane?
Pamenishtua hapo, kumbe ni typing error.
 
Duh!! hii nayo kali. Hao kweli wamedhamiria na wamekubuhu kwenye u gf/bf yaan kwa kifupi ni Makada.
Tunaweza pata madini yakutosha toka kwa hawa wazee.
 
Kuna kipindi nilibahatika kufika huko nchi za magharibi siku moja nilikutana na wazee wawili kando kando ya mto wanabarizi nikaanza kupiga nao stori. Yule babu kama 70 na bibi kama 68 hivi. Si yule babu akanitambulisha kwamba yule bibi ni gf wake teh teh teh hadi leo sitakaa nisahau babu na bibi yule wapenzi wa long time.

Duh!! hii nayo kali. Hao kweli wamedhamiria na wamekubuhu kwenye u gf/bf yaan kwa kifupi ni Makada.
Tunaweza pata madini yakutosha toka kwa hawa wazee.
 
Katika mapenzi, uwezekano wa kuoana au kutokuoana unalingana. Wakati mwingine watu hupanga kuoana lakini kadri muda unavyozidi ndivyo mmoja wao huonekana hafai maana tabia inajidhihirisha. Wadada kumbukeni ya kwamba kama wanandoa wenyewe wanapeana talaka itakuwaje vimapenzi vya kudanganyana kwa chips soda?
 
tatizo wasichana nao wang'ang'ania sana kuolewa, mwezi wa kwanza tu kwenye mahusiano anaanza kuuliza utanioa lini sasa na sisi hapo ndo unabadilisha akili kwamba kwanini huyu anataka sana kuolewa labda kuna kasoro anayo ndo hapo unagundua na vitu ambavyo ni subjective kutoka kwake
 
sio lazima tuoane ila kwa ajili magonjwa mengi inabidi tu-stick na mmoja ndio ndoa inaingia hapo....,by the way ni ndoa kama umekaa na mtu kwa muda fulani inahesabika kama ndoa.....:lying:
 
Okay! I get what ya sayin dude! And I LOVE IT!!!!!!!!!!!!!

The thing is women are difficult creatures. Whether you promised her or not she is expecting it and you both know it. Tellin a woman you are feelin her to her = I wanna spend the rest of ma life wit u!

The only shot u got is to use the BUYER BE AWARE TACTIC and warn her prior that MARRIAGE IS NOT BY ANY MEANS PART OF THE DEAL!!!!!!!! Pure fun, no strings attached. Take it or leave it.

If she stays (of which i doubt highly) ya conscious is insured against any future blames.
 
tatizo wasichana nao wang'ang'ania sana kuolewa, mwezi wa kwanza tu kwenye mahusiano anaanza kuuliza utanioa lini sasa na sisi hapo ndo unabadilisha akili kwamba kwanini huyu anataka sana kuolewa labda kuna kasoro anayo ndo hapo unagundua na vitu ambavyo ni subjective kutoka kwake

Hahahaaaaaaaaa! They say it takes a man 3 seconds to know if he has found the one or not. It take a woman 10 years of marriage n to know she hasn't found the 1 yet!

If ukijua she aint anythin close to what ya lookin for just tell her early! The sooner the better so they say.
 
what if ni mzuri kumgegeda but she is not wife material as we use to discriminate them?.
 
Back
Top Bottom