Je, kuna upuuzi wowote uliwahi kufanyiwa na taasisi yoyote ile?

Kwenye maswala ya riziki kuna rafu nyingi sana tunacheza na.kuchezewa, yote ilimradi mimi niwe juu na fulani awe chini.
Kila mtu anapambana kufikia mahali fulani na anatamani kufika yeye kama yupo yoyote aliye naye safari moja basi hutafuta kila namna ya kumwangusha ili yeye awe kinara..

Mwisho wa yote wahenga walishawahi kusema likuepukalo lina heri nyingi, ungekuwepo hapo tanesco ndugu mleta mada pengine huu uzi usingekuwepo.
 
Back
Top Bottom