Sali Mungu akupunguzie maumivu na uendelee na maisha yako na akupe mwelekeo aliokupangia. Labda huyo alikuwa sio wako. Pole utamsahau, usimlilie au kumsumbua na simu mwache aende.
Ukitaka usiumie tena kwny game la mapenzi kuwa nao zaidi hata ukiachwa hutoumia kabisa.ila kwa kujifanya unampenda na kuwa mwaminifu kwake ndo madhara yake hayo..shukuru mungu hujajiua au kuua mana mapenzi yanaua sana
Maumivu ya mapenzi hayapunguzwi kwa kusali mzurimie.we tafuta mwngne wa kuziba pengo haraka ....la cvyo hata ukisala ucku na mchana maumivu yako pale pale