alexis jr JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 391 Reaction score 343 Jun 17, 2017 #1 Wakuu habari Ku declare interest Mimi ni mshamba wa iphones ni android user je iphones zina glass screen protectors coz watu wengi wa iPhone unakuta simu ina crack so tusaidiane pia costs zake kwa ajuae
Wakuu habari Ku declare interest Mimi ni mshamba wa iphones ni android user je iphones zina glass screen protectors coz watu wengi wa iPhone unakuta simu ina crack so tusaidiane pia costs zake kwa ajuae
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,611 Jun 17, 2017 #2 Zipo mkuu mbona nyingi tu
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Jun 17, 2017 #3 Zipo original nenda mlimani city kwenye duka linalouza vifaa hivyo
alexis jr JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 391 Reaction score 343 Jun 17, 2017 Thread starter #4 Bei yake ni sh ngapi
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Jul 7, 2017 #5 alexis jr said: Bei yake ni sh ngapi Click to expand... 15k, nakuendelea na inategemeana unatumia iphone ya haina gani.
alexis jr said: Bei yake ni sh ngapi Click to expand... 15k, nakuendelea na inategemeana unatumia iphone ya haina gani.