Je, kuna mapenzi pasipo kufanya mapenzi?

hapo hela za saloon za jamaa unakuta anachunwa tu dah

mwambie atembee hakuna mapenz hapo
 
Ni bikra huyo binti?unajua mabinti huwa wakigegedwa mara moja wanaachwa kwa mambo kama haya.Jamaa anahangaika weee siku akipewa atajiuliza nilikuwa nasubiria hiki?kama anatoa matumizi mara moja asitishe na yeye kwa miezi mi8.
 
Amuoe ili amukamue vzr,Huyo anataka ndoa
 
MAHUSIANO bila SEX ni sawa na kuuziwa nyumba au kiwanja BILA HATI....siku zote mwanamke kama upo nae ktk mahusiano na HUJAMVUA chupi...ni sawa na FACEBOOK FRIEND tu.....ukisha sex nae ndy atakuwa wako sasa
 
Daaah[emoji26], 99% ya wanaume waliocomment apa wanaamin sex ndo kila ki2 in relationship.....that's so saaaaad[emoji26][emoji26][emoji26], afu seemz lyk mwanaume akimpa ela mwanamke anategemea sex 4return! This is totally wrong coz sex wil never bring love, afu inaonekana iki kizaz chetu tunashabikia sana ngono[emoji15] tukumbuke uzinzi ni dhamb jmn!
 

Mimi nakujibu kama ni wewe maana nahisi ni wewe!

Ngono si mapenzi na haijawahi kuwa. Ngoja nikuwekee nukuu kutoka kitabu cha Walter Trobisch - I Married You

SEX IS NO TEST OF LOVE. If a couple want to use the sex act in order to know whether they love each other, one has to ask them: “Do you love each other so little?”

1. Kama ulimtongoza kwa minajili ya kulala naye tu na kutimiza hitaji lako la kimwili basi nenda katafute kwingine au mueleze hasa nia yako kwake, huenda mkawa mmekutana wazinzi wawili ila hamtaki kuambizana ukweli. Wewe unamdanganya unampenda mwenzio hakupendi, anakutamani tu kama unavyomtamani yeye.

2. Kama lengo lako lilikuwa kuwa naye kwa minajili ya ndoa na maisha pamoja basi hiyo ni indicator kwako kuharakisha kama unaona huwezi kusubiri. Lakini hakikisha sana, zaidi ya mwili wake (chura), na sehemu nyingine zake mnaendana (compatibility).

Ngono ni muhimu kwenye ndoa ila ngono si kipimo cha mapenzi.

Dunia ya sasa imefanya ngono kama kitu cha kawaida. Mimi sitaenda huko na nimeamua siku hizi sitoshauri tena watu mkazini, ila kama umri unakuruhusu usiendelee kujitia msononeko wa moyo, fanya hima mfunge ndoa mfurahie maisha. Hakuna raha kama kutulia na mwenza wako uanze kufikiria mambo mengine sasa ya uchumi na kutumikia taifa lako.

Kila la kwei Mayila Baba.
 
Sio mimi jamani naomba nieleweke, binafisi zikipita wiki 2 hatujaonana na najua fika yupo karibu na mimi na ananipiga kalenda kunipa... Huwa najiongeza..... Siwezi kaa muda mrefu hivyo, inanipa mashaka... Huenda ni shemale nalazimisha tukifika hukuo linigeuzie kibao, why.......?
 
Yapo..Mimi ninaye wangu yaani toka nilipomtoa dam ya kwanza mwezi we tatu hadi leo hataki na aliniambia hadi mwezi wa 6 ilipofika akasema hadi wa kumi Jana kasema hadi mwakani
Nadhani ulimbaka na kumsababishia maumivu makali ya sehemu za siri
Kama ulimpatia utamu kikawaida asingeweza
Kucheza mbali nawe mkuu
Hata kwao angekuwa tayari
Kuhama huyo msipandiane
Kama Manyumbu
Kila kitu na taratibu
Ulikosea kuingia hapo au pia
Wapo wanawake makhanithi.
 
huduma anataka na unatoa kama kawaida?
 
Zinaa ni dhambi tena ichukizayo mbele Za Mungu hili hakuna anaebisha.

Sasa kwenye maisha yetu yakawaida hakuna mapenzi bila kungonoka kubali au Kataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…