sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,391
- 4,525
Je kuitwa Mtanzania ni tusi?
Kwa lipi watu wanahoji.
Kinara wa hoja anadai:Elimu isiokidhi viwango vya Taifa wala la kimataifa,na tukamjibu kwani sisi ni Somalia?
Malimau akaja na mpya,eti shilingi yetu ina thamani ya ubuyu lo hivi kweli?
Mara kaja Mamboleo ohh barabara ndefu bila kona lakini hakuna mchepuo,hivi bila michepuo wananchi katika maeneo hayo watafaidika vipi?Mambo ya reli ya Tazara!
Akili Mali nae akateta hivi kazi ya Waziri Mkuu ni kuongeza idadi ya wilaya na mikoa mbona hatuongezi idadi ya maraisi katika nchi mmoja?
Mara kaja Abunwasi ndio kwanza katokea kifungoni Bagdad kwenye vita ya ghuba,yeye anadai kuwa mazuri au mabaya ya binadamu yatadumu hata akiisha kufa.