Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,015
Mwache ateme nyongoDuh! Mkuu , mbona Povu sana?......
Inaelekea ccm wamekutibuaBunge live lilizuiwa kwa sababu za kitoto, kipuuzi na kishamba sana. tuliambiwa tupate muda wa kufanya kazi. sasa tunashuhudia hata uzinduzi wa makanisa na kusimika mapadre ukiwa mubashara kutwa nzima
huyu bwana anatembea na tv nchi nzima.
akienda msibani live, akila live, akienda kanisani mubashara, akienda ziarani mubashara mchana kutwa.
je yeye akioneshwa mubashara hawazuii hao wananchi kufanya kazi au kwakuwa yeye ni bingwa wa kutofuata utaratibu?
UNAFIKI NI JAMBO BAYA ILA NI CHAKULA CHA CCM
Acha kuogopa wapinzani mzee baba kama unakubalika waache nao wacheze uwanja sawa tuone.
huko malawi ulienda kujifunza nn? mbona wao viongozi wa kitaifa kila mtu anagombea kwa chama chake na hakuna nongwaaa?
Duh! Mkuu , mbona Povu sana?......
Ongeza kidogo halitoshi.Kafulie
Hovyo sana.Baada ya bunge live kusitishwa, sasa tuna Rais live!
Dah ulinzi bab kubwa. Tuna jeshi imara na tiifu kwa amiri jeshi mkuu
Hapo unawanyima uhondo waliokusudia kwenda kusimama huko milimani ili waone vizuri. Watatolewa mkuku na walinzi, kumbe hata hawakuwa na nia mbaya, walitaka tu kujionea. Hii umekosea!Hamna hata ,siku ile alikuwa pale viwanja vya rwanda nzovwe niliwaza kabisa mtu akiwa na AK 47 na mwenye shabaha akikaa kwenye mlima ule wa kupandia kwenda veta anamtoa mchezoni vizuri tu ,,kikubwa Tanzania ni nchi ya aman kiasi chake si kwamba ulinzi ni mkali sana kivile
Hata mei mosi mtu akikaa kule mlimani na mashine nzuri anaweza fanya lolote ,sema kwa Tanzania ni aman aman
Ulinzi unatakiwa uongezwe sana tena kwa sehemu kama mbeya kulivo na milima milima ,mtu mwenye nia mbaya asiweze kumdhuru
Mkuu tatizo ndo tatizo la kukabidhi kisiwa wa shambaniBunge live lilizuiwa kwa sababu za kitoto, kipuuzi na kishamba sana. tuliambiwa tupate muda wa kufanya kazi. sasa tunashuhudia hata uzinduzi wa makanisa na kusimika mapadre ukiwa mubashara kutwa nzima.
Huyu bwana anatembea na tv nchi nzima.
akienda msibani live, akila live, akienda kanisani mubashara, akienda ziarani mubashara mchana kutwa.
Je, yeye akioneshwa mubashara hawazuii hao wananchi kufanya kazi au kwakuwa yeye ni bingwa wa kutofuata utaratibu?
Unafiki ni jambo baya ila ni chakula cha CCM
Acha kuogopa wapinzani mzee baba kama unakubalika waache nao wacheze uwanja sawa tuone.
Huko malawi ulienda kujifunza nn? mbona wao viongozi wa kitaifa kila mtu anagombea kwa chama chake na hakuna nongwaaa?
Hapo unawanyima uhondo waliokusudia kwenda kusimama huko milimani ili waone vizuri. Watatolewa mkuku na walinzi, kumbe hata hawakuwa na nia mbaya, walitaka tu kujionea. Hii umekosea!