Je kodi ya Sembe inaenda TRA au CCM?

Je kodi ya Sembe inaenda TRA au CCM?

calory

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Sinto faham ya wapi walipo vigogo wauza unga na nani anaye walinda na kuficha ukweli kuhusu uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, unaleta mashaka katika serikali yetu ya CCM, kwanini hao wahusika kila mtu anasema hawajui?? hili lina tufanya tuamini kua serikali ina husika kuchukua kiasi flani cha pesa kama kodi, ninaposema serikali na maanisha CCM inatoza kodi kwa wafanya biashara wa mihadarati kwa niaba ya TRA. Swala hili halionyeshi dalili ya kukoma siku za karibuni kwasababu miundo mbinu ya usafirishaji na uuzaji wa madawa haya unafanikishwa na vigogo wakubwa serikalini. Je tozo katika mihadarati inaenda wapi? na ninani ananufaika na kodi hiyo?
 
Nina imani hii hoja yako ilikuwa na mashiko ila sema tu kwa kipindi cha M.k.w.e.r.e ulionekana mfukunyuku kwa kufuatilia mambo ya wakubwa. ngoja tuone kipindi cha JPM kama ataweza kulinusuru taifa ktk janga ili la madawa ya kulevya!
 
Back
Top Bottom