Yes mimi ni shabiki yake huyu dogo tangu siku namjua baada ya kuiona Laye kwenye channel ya Star music tangu hapo nikaanza kumfuatilia kabla hata hajatoka G worldwide lakini tuseme tu ukweli hizo song ulizotaja ni nzuri na hata mimi nazipenda hasa Laye ila hazifikii uzito wa Buga,buga imevuka mipaka sana hii ni sawa na kusema Davido Skelewu ni Hit song lakini If au fall zimeenda mbali zaidi ya kuwa hit song nadhani ndio nilimaanisha hivi..Huyu jamaa ndio ana hiyo ego ya maringo hata wanaijeria wenzio wanammaindi na hiyo ego ndio imefanya mpaka G worldwide wakavunja nae mkataba kikatili kabisaNi kweli hayo yote lakini mbona wakati yupo G worldwide alikuwa na hit nyinginezo pia
Woju
Laye
Mama
Yeba
Hizi zote zilifanya powa tu nadhani ana tatzo la kama ego fulani hivi anakuwa nayo.
Wale ni wazamiaji ni timu ya kanisa huko nchini Ethiopia..msimu uliopita walishika nafasi ya nne kutoka mwisho chupuchupu washuke daraja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mnaumia na kuteseka mnoooo?? Mbna bado muda wa kutoa kilio chenyewe??? Wazamiaji??? Akati wako ktk CAFCL hati hati mnakutana nae
Jmos tunawapiga na mzungu wenu mliopewa km Zawadi.
Umesema kweli st music walikuwa wanapenda sana kupiga huo wimbo.Yes mimi ni shabiki yake huyu dogo tangu siku namjua baada ya kuiona Laye kwenye channel ya Star music tangu hapo nikaanza kumfuatilia kabla hata hajatoka G worldwide lakini tuseme tu ukweli hizo song ulizotaja ni nzuri na hata mimi nazipenda hasa Laye ila hazifikii uzito wa Buga,buga imevuka mipaka sana hii ni sawa na kusema Davido Skelewu ni Hit song lakini If au fall zimeenda mbali zaidi ya kuwa hit song nadhani ndio nilimaanisha hivi..Huyu jamaa ndio ana hiyo ego ya maringo hata wanaijeria wenzio wanammaindi na hiyo ego ndio imefanya mpaka G worldwide wakavunja nae mkataba kikatili kabisa
Drugs ndio sababu,haswa bangi/skankaJuni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu kumpa Maua wakati akiwasili Uwanja wa Ndege.
Julai 2022: Alizomewa na Mashabiki Maryland nchini Marekani baada ya kuchelewa kwa masaa manne na kusababisha kutupiwa vitu wakati akitumbuiza jukwaani.
Julai 2022: Aliwakasirisha mashabiki wa Denver nchini Marekani baada ya kuifuta show yake ambayo aliyakiwa kuifanya na kupelekea mashabiki kutumia mitandao ya kijamii kumshambulia.
August 2022: Aliwasili Tanzania saa chache kabla ya show huku akishindwa kutumbuiza kwa sababu mbalimbali ikiwemo begi lenye mavazi kusahaulika Airport alikotoka.
View attachment 2319747
Ninini hasa kimo kwenye mkufu wake mmoja wa dhahabu mpaka akaghairi kuimba hadi auvae!?
Na ujana pia plus ulimbukeniDrugs ndio sababu,haswa bangi/skanka
Zilikuwa zinasemaje?[emoji23]Ila Leo nilicheka Sana na comments za wabongo kwa page ya kizz....hakuna siku nimecheka tangu week ianze Kama leo..kizz amejua kuchachua watz[emoji119]
Nilimkubali sana kipindi anatumia Kiss Daniel na wimbo wake 'pick up'Alikuwa msanii wa kawaida tu kabla ya kutoa Buga,kabla ya hapo hit song yake ilikuwa Woju tu,sio mara ya kwanza kuharibu alishaharibu hadi kwenye label yake iliyomtoa ya G worldwide na kupelekea kuvunjwa kwa mkataba wake na kulipa mabilioni pamoja na kuporwa account zake zote za Instagram,Youtube hadi jina aliporwa akaanza kujiita kizz Daniel badala ya Kiss Daniel,Wanaijeria wanammaindi kinoma wanasema dogo anavimba sana na hayupo humble kama kina Davido na Wizkid,Nigeria Davido haoni shida kupaki Lamborghini yake usewazi jijini Lagos na akaingia mgahawa wa mama ntilie kula na kupiga story na washkaji na ndio maana hachuji mpaka leo,,sasa Wanaija wana wivu sana wa kimaendeleo wakiona mtu ana vihela kidogo kama huyo Kizz Daniel halafu anavimba zitafanyika jitihada zote kumpoteza ni suala la muda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaijua St George?? Au umehadithiwa??Wale ni wazamiaji ni timu ya kanisa huko nchini Ethiopia..msimu uliopita walishika nafasi ya nne kutoka mwisho chupuchupu washuke daraja
Mnamshobokea sana!Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu kumpa Maua wakati akiwasili Uwanja wa Ndege.
Julai 2022: Alizomewa na Mashabiki Maryland nchini Marekani baada ya kuchelewa kwa masaa manne na kusababisha kutupiwa vitu wakati akitumbuiza jukwaani.
Julai 2022: Aliwakasirisha mashabiki wa Denver nchini Marekani baada ya kuifuta show yake ambayo aliyakiwa kuifanya na kupelekea mashabiki kutumia mitandao ya kijamii kumshambulia.
August 2022: Aliwasili Tanzania saa chache kabla ya show huku akishindwa kutumbuiza kwa sababu mbalimbali ikiwemo begi lenye mavazi kusahaulika Airport alikotoka.
View attachment 2319747
Ninini hasa kimo kwenye mkufu wake mmoja wa dhahabu mpaka akaghairi kuimba hadi auvae!?