Tatizo sio kunoga ni kumfunza adabu, yaani all the way from Lagos to bongo uje upige show bure ujilipie hotel na other stuff halafu umepigwa faini ya pesa ndefu inauma sanaHaitanoga tena
Out our Topic.Tangu wololoo yake ipwndwee, bas tafran tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tu hii game inanikuta nikiwa na majukumu.Yanga buana[emoji3][emoji3]
Peleka ujinga wako huko buzaUnaweza kuta baba yake ana damu ya Buza kwa Mpalange Nasema Uongo Ndugu Zangu ?
Ni kweli hayo yote lakini mbona wakati yupo G worldwide alikuwa na hit nyinginezo piaAlikuwa msanii wa kawaida tu kabla ya kutoa Buga,kabla ya hapo hit song yake ilikuwa Woju tu,sio mara ya kwanza kuharibu alishaharibu hadi kwenye label yake iliyomtoa ya G worldwide na kupelekea kuvunjwa kwa mkataba wake na kulipa mabilioni pamoja na kuporwa account zake zote za Instagram,Youtube hadi jina aliporwa akaanza kujiita kizz Daniel badala ya Kiss Daniel,Wanaijeria wanammaindi kinoma wanasema dogo anavimba sana na hayupo humble kama kina Davido na Wizkid,Nigeria Davido haoni shida kupaki Lamborghini yake usewazi jijini Lagos na akaingia mgahawa wa mama ntilie kula na kupiga story na washkaji na ndio maana hachuji mpaka leo,,sasa Wanaija wana wivu sana wa kimaendeleo wakiona mtu ana vihela kidogo kama huyo Kizz Daniel halafu anavimba zitafanyika jitihada zote kumpoteza ni suala la muda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mnaumia na kuteseka mnoooo?? Mbna bado muda wa kutoa kilio chenyewe??? Wazamiaji??? Akati wako ktk CAFCL hati hati mnakutana naeOut our Topic.
Yaani ww shukuru Jumamosi, nitakuwa nipo porini, hizi kelele zenu wakati mmecheza na wazamiaji kutoka Ethiopia zinatunyima raha mtaani.