MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 929
- 1,310
Mbowe alipewa dhamana, Mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?
Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Mbowe mahakama yenyewe ilishindwa kumtia HATIANINami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?
Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Mahakama ilisema ana kesi ya kujibu ndipo dppp akaondoa case!!Mbowe mahakama yenyewe ilishindwa kumtia HATIANI
Mbowe hakupewa DHAMANA
Rudia kusoma Kwa makini, Rabbon na mkataba fake wap na wap!!!mbowe alipewa dhamana, mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.
Wa kupimwa wewe..!!Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?
Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Kweli una kichwa cha Panzi hujui hata Kesi ya Ugaidi kama haina Dhamana wala Msamaha ndio maana WATUHUMIWA hawakuwahi Kupewa DHAMANA wala Msamaha uliotolewa . Kumbuka aliyewashtaki ni DPP na DPP hakutoa DHAMANA wala Msamaha bali Aliiomba Mahakama kuiondoa Kesi Mahakamani kwa Mujibu wa Sheria.Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?
Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Hayo ndio Matunda ya shule za Kata Mbowe toka akamatwe hakuwahi Kupewa DHAMANA wala Msamaha mpaka aliyewashtaki ambaye ni DPP alipoiondoa kwai MahakamaniMbowe alipewa dhamana, Mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.
🤣Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?
Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.