D daktari Ayub New Member Joined Jan 3, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Aug 24, 2014 #1 Nauliza na kamuulizia hayati babu yangu, maisha ndo nini? Babu kaniambia kuwa mwanangu , sidhani ni mengine! Mmh naitaji ufafanuzi hapa.
Nauliza na kamuulizia hayati babu yangu, maisha ndo nini? Babu kaniambia kuwa mwanangu , sidhani ni mengine! Mmh naitaji ufafanuzi hapa.
APOSTLE JOHN SINDE Member Joined Dec 7, 2013 Posts 68 Reaction score 23 Aug 24, 2014 #2 Ugonjwa wa EBOLA! Usiombe ukupate
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,380 Reaction score 103,729 Aug 26, 2014 #3 daktari Ayub said: Nauliza na kamuulizia hayati babu yangu, maisha ndo nini? Babu kaniambia kuwa mwanangu , sidhani ni mengine! Mmh naitaji ufafanuzi hapa. Click to expand... Panda panda utayajua tu maisha ndio nini.
daktari Ayub said: Nauliza na kamuulizia hayati babu yangu, maisha ndo nini? Babu kaniambia kuwa mwanangu , sidhani ni mengine! Mmh naitaji ufafanuzi hapa. Click to expand... Panda panda utayajua tu maisha ndio nini.
Chakochangu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,668 Reaction score 2,174 Aug 26, 2014 #4 Kupenda penda kubaya utajapenda mkweo.