Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walioenda na bunduki wamewekwa kwenye bus moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnasifia kila kitu mpaka mnaonekana mafala.
kapeleke kalio lako pale utajua mabunduki yapo au hayapo.
Watu wanalindwa na majini yao na mizimu yao. Ukoo wa kichawi sanaWengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.
Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.
Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.
Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.
Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
mnasifia kila kitu mpaka mnaonekana mafala.
kapeleke kalio lako pale utajua mabunduki yapo au hayapo.
Bunduki zipo hujui kitu wwemnasifia kila kitu mpaka mnaonekana mafala.
kapeleke kalio lako pale utajua mabunduki yapo au hayapo.
Mkuuu natamani unge pandisha Uzi kuhusu majini na uchawi wa hio familyWatu wanalindwa na majini yao na mizimu yao. Ukoo wa kichawi sana
Yale manguo yote mekundu ,makofia marefu nk ni wanajeshi hao mkuu.Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.
Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.
Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.
Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.
Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Bundiki zilikuepo tena zote ni kama zile za S. W. A, T kulikua na vikosi vya kila aina na walikua kila sehemu juu ya majengo kwa marikia, kwenye mchanganyiko wa raia na ilikuingia eneo la tukio una scaniwa getin kwanza na mitambo maalum unapita katikati ya hiyo scanner kulikua na ulinzi wa kusazaWengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.
Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.
Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.
Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.
Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Nimecheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]Walioenda na bunduki wamewekwa kwenye bus moja.
Kulikua mpaka na masniper kwenye miti mirefu tizama picha hapo chini[emoji116]Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.
Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.
Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.
Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.
Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Hata kamaIkulu kuna bunduki?
NdioKumbe ni thd iliyoanzishwa na Dokta Uchwara tu.